
Wasanii ambao walitaka kujaribu bahati zao katika mchakato wa kumpata mwakilishi wa EBSS kutoka mkoani Lindi

Majaji wa shindano hilo, Master J, Madam Ritha na Salama J

Jaji Master J akiwa kazini kwa mbali Salama J

Mmoja ya washiriki akionyesha ufundi wake